Description
Diwani hii ya “Malenga Wapya” imekusanya mashairi 37 ambayo yana ukwasi mkubwa wa fani na maudhui na yametumia mitindo mbalimbali ya mashairi ya Kiswahili. Malenga wetu hawa wapya wamejitahidi sana kuchora picha ambazo zinaakisi utamaduni wa Kiswahili na waswahili wenyewe.
Maudhui yaliyotawala katika mashairi haya ni pamoja na maswala ya ukombozi wa mwanamke, uonevu na umasikini, kilimo, ugumu wa maisha, usaliti, uzembe, misiba, mapenzi na demokrasia katika jamii. Mwishoni mwa kitabu hiki kuna orodha ndefu ya maneno na maana yake ambayo bila shaka yatakuwa hazina kubwa katika ufahamu wa mashairi haya.
Vitabu vingine vya mashairi katika mfululizo huu ni:
- Malenga wa Mrima
- Malenga wa Mvita
- Malenga wa Vumba
Reviews
There are no reviews yet.