Description
Kiswahili shule za sekondari, kidato cha pili kimeandaliwa kwa mujibu wa muhtasari mpya wa mwaka 2005 wa somo la kiswahili kwa shule za sekondari, Tanzania. Kitabu hiki kimezingatia sana mahitaji ya wanafunzi darasani na ya taifa kwa ujumla.
Reviews
There are no reviews yet.