Description
‘Ijaribu na Uikarabati, Marudio ya KCSE’ toleo jipya ni kimoja kati ya msururu wa vitabu vya marudio, yaani Test it & Fix it revision Series. Kitabu hiki kimeandikwa kwa lengo la kumwezesha mwanafunzi kuboresha matokeo katika mtihani. Mada zote kwenye silabasi ya shule za sekondari zimeshughulikiwa ikiwa ni pamoja na mifano ya mitihani ya mwigo na ushauri kwa mwanafunzi ili kuhakikisha kuwa amejiandaa vilivyo kuukabili mtihani.
Katika ‘Ijaribu na Uikarabati, Marudio ya KCSE’ toleo jipya utapata:
- Vidokezo vya jinsi ya kufaulu katika mtihani.
- Mambo muhimu ya kukumbuka unapojiandaa kwa mtihani.
- Muhtasari wa vipengele vyote vya lugha kwenye silabasi, kuhusiana na karatasi zote tatu za lugha ya Kiswahili, yaani, sarufi na matumizi ya lugha, isimujamii, ufahamu na ufupisho, insha, na fasihi simulizi na andishi.
- Tahadhari kwa makosa ya mara kwa mara ambayo wanafunzi hufanya katika mtihani na jinsi ya kujiepusha nayo.
- Mifano na mazoezi ya kutosha kwa kila kipengele cha lugha kilichoelezwa.
- Mitihani kumi na tano ya mwigo wa KCSE.
- Majibu ya maswali yote yaliyomo kwenye kitabu.
Vitabu vingine kwenye msururu huu
- Test it & Fix it: KCSE Revision Mathematics
- Test it & Fix it: KCSE Revision Biology
- Test it & Fix it: KCSE Revision Physics
- Test it & Fix it: KCSE Revision Chemistry
- Test it & Fix it: KCSE Revision English
- Test it & Fix it: KCSE Revision Geography
- Test it & Fix it: KCSE Revision Business Studies
- Test it & Fix it: KCSE Revision CRE
- Test it & Fix it: KCSE Revision Agriculture
- Test it & Fix it: KCSE Revision History
Reviews
There are no reviews yet.