Description
Sikukuu Nzuri ni hadithi inayoangazia msamiati wa vyakula. Lola na wenzake wanajadili kuhusu chakula ambacho wangependa kula siku ya sikukuu. Je, watachagua vyakula gani?
Soma Nasi ni msururu wa hadithi zilizoandikwa kwa kuzingatia mada mbalimbali. Hadithi hizi zitawawezesha wanafunzi wenye uwezo tofautitofauti kuimarisha stadi za lugha walizojifunza darasani. Wanafunzi watafurahia kuzisoma hadithi hizi kwa lengo la kujiburudisha na pia kufanya mazoezi ya stadi za lugha.
Reviews
There are no reviews yet.