Description
Soma Nasi ni msusuru wa hadithi zilizoandikwa kwa kuzingatia mada mbalimbali. Hadithi hizi zitawawezesha wanafunzi wenye uwezo tofautitofauti kuimarisha stadi za lugha walizojifunza darasani. Wanafunzi watafurahia kuzisoma hadithi hizi kwa lengo la kujiburudisha na pia kufanya mazoezi ya stadi za lugha.
Mtoto Anataka Nini? ni hadithi inayoangazia msamiati wa usafiri na vyombo vya usafiri. Joni na Jeni walikuwa na vitu mbalimbali vya kuchezea. Walivikuwa vitu vyote juu ya meza ya kuchezea. Mtoto wao mdogo alifurahishwa na kitu fulani. Je, ni kitu gani kilimfurahisha mtoto?




Reviews
There are no reviews yet.