Description
Je, ungependa kuifahamu lugha ya Kiingereza kama unavyoifahamu lugha ya Kiswahili? Je, ungependa kujua tafsiri za Kiingereza za maneno ya Kiswahili unayoyajua? Basi ‘Kamusi ya Msingi Kiswahili-English’ itakusaidia.
Kamusi hii ina:
- Mada kuu 27.
- Maneno muhimu ya Kiswahili zaidi ya 1,800 na tafsiriza maneno hayo.
- Wingi wa nomino.
- Mifano rahisi ya sentensi katika Kiswahili na Kiingereza.
- Michoro zaidi ya 1,200 ya kupendeza.
Reviews
There are no reviews yet.