Description
Cheupe anapotumwa msituni usiku, hana habari kuwa dada yake, Cheusi, pamoja na mama yake hawamtarajii nyumbani tena. Hata hivyo, kile ambacho Cheupe anakutana nacho msituni kinabadilisha maisha yake kabisa.
Cheupe na Cheusi ni kitabu cha wanafunzi wa darasa la nne katika shule za msingi. Kitabu hiki kinalenga kuendeleza na kukuza uwezo wa kusoma na kuandika.
Mradi wa Kusoma ni vitabu vya ziada ambavyo vinaambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.
Reviews
There are no reviews yet.