Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwalimu 5

ISBN: 9780195749069Author: Jackline Ndege, Evans Osoro, Zephania Mucheria

KES 440.00

‘Kiswahili Dadisi’ ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa njia ya kipekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata umilisi wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika, na vilevile sarufi kama ilivyopendekezwa katika mtalaa.

Vitabu katika msururu huu vina mazoezi murua ambayo yatamchangamsha mwanafunzi na kumpa hamu ya kujifunza lugha. Mazoezi haya yanakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka.

‘Kiswahili Dadisi’, Kitabu cha Mwalimu, Gredi 5, kina mifano halisi na ya kutosha kumwezesha mwalimu kuwasaidia wanafunzi kukuza umilisi unaokusudiwa. Katika mwongozo huu, utapata:

  • Utangulizi wa kina kuhusu mtalaa mpya wa umilisi.
  • Muhtasari wa umilisi, maadili, masuala ibuka na shughuli nyinginezo zilizoratibiwa ufundishaji katika kila sura.
  • Matokeo maalumu, maandalizi ya somo na shughuli za ufunzaji wa kila somo.
  • Mapendekezo ya majibu ya maswali yote katika Kitabu cha Mwanafunzi.
  • Mapendekezo ya shughuli za kutekelezwa na wanafunzi ili waendelee kujifunza wakiwa nje ya darasa.
  • Maswali ya ziada ili kukuwezesha kutathmini zaidi uelewa wa wanafunzi wako.
  • Maelekezo ya kina kuhusu jinsi ya kutathmini wanafunzi.

‘Kiswahili Dadisi’, Kitabu cha Mwanafunzi pamoja na Mwongozo wa Mwalimu vina shughuli, mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwanafunzi na mwalimu wanahitaji ili kufaulu katika mtalaa huu mpya wa umilisi.

Oxford, chaguo lako!

Buy from Text Book Centre

Description

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwalimu 5”

Your email address will not be published. Required fields are marked *