Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6

ISBN: 9780195749144

KES 485.00

‘Kiswahili Dadisi’ ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika, na vilevile sarufi. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka.

Katika ‘Kiswahili Dadisi’, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi 6, utapata:

 • Mada zilizopangwa kwa kuzingatia muainisho wa mtalaa mpya.
 • Mifano halisi ya miktadha ambapo lugha hutumika.
 • Mazoezi ya kuwahamasisha wanafunzi kuendeleza ujifunzaji nje ya darasa na yale yenye kuwashirikisha katika shughuli za kijamii zinazokuza ujifunzaji.
 • Mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja.
 • Jinsi ya kuwashirikisha wazazi na walezi ili kuimarisha uwajibikaji.
 • Vifungu vya kumburudisha na kumfikirisha mwanafunzi katika sehemu ya ‘Burudika’.

‘Kiswahili Dadisi’, Kitabu cha Mwanafunzi kina Mwongozo wa Mwalimu ambao pia una mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwalimu atahitaji ili kumwongoza mwanafunzi aweze kufaulu katika mtalaa huu mpya wa umilisi.

Oxford, chaguo lako!

Buy from Text Book Centre

Description

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6”

Your email address will not be published. Required fields are marked *