Description
‘Ahsante ya Punda’ ni kitabu kinacholenga wanafunzi wa Darasa to Sita katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:
- Masimulizi rahisi ya hadithi kwa njia ya tamthlia na mbinu rejeshi, kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia dayolojia, misemo, methali, taharuki, kejeli, chuku, utani, wimbo, vichekesho, majina ya majazi na picha za rangi zenye kusisimua.
- Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya maisha ya nyumbani na kijijiini na matatizo yake, ujirani, mahakamani na mambo ya kisheria, stadi za maisha, uwajibikaji, kazi, utu, uaminifu, uadilifu, ushirikiano, haki za binadamu, kuishi kwa utangamano na amani.
Mradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada ambavyo vinaambatana na kozi ya Kiswahiti Sanifu.
Reviews
There are no reviews yet.