Kiswahili Dadisi Workbook Grade 6

ISBN: 9780195749700Author: Jackline Ndege et al.

KES 500.00

‘Kiswahili Dadisi Workbook’ ni msururu wa kipekee wa vitabu vya mazoezi katika Mtalaa wa Umilisi. Kila kitabu katika msururu huu kimefanyiwa utafiti wa kina na kuandikwa kwa ustadi ili kuwasaidia wanafunzi kupata umilisi wa kimsingi, ujuzi, maadili na kuwa na mitazamo bora maishani. Vitabu hivi vinatoa utaratibu mwafaka wa kufanya mazoezi ya lugha kwa njia nyepesi na ya kueleweka.

Kitabu hiki:

  • Kimeandikwa kwa kufuata utaratibu uliopendekezwa kwenye mtalaa.
  • Kina mazoezi mengi ya kuchangamsha na kuelimisha, na ambayo yatamwezeshamwanafunzi kujenga na kupanua umiliskatika kila mada.
  • Kina dokezo ambazo zinatoa maelezo zaidi kuhusu vipengele lengwa.
  • Kina tathmini ya binafsi ambayo itamsaidia mwanafunzi kukadiria umilisi wake katika mada ndogo zote.
  • Kina majaribio ya mtihani wa mwisho wa elimu ya msingi.

Buy from Text Book Centre

Description

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kiswahili Dadisi Workbook Grade 6”

Your email address will not be published. Required fields are marked *