Description
Ari ya kuwasiliana na marafiki wa barua inashabikiwa sana katika Mukibi’s Educational Institute for the Sons of African Gentlemen. Si ajabu kwamba Musa na King Kong wamo katika wimbi hilo la msisimko.
Kando na hayo, Kasali — mvulana mgeni — anatengeneza mvinyo kwa mashine aliyoificha kwenye bweni. Kila anayeuonja anakiri kwamba ni mvinyo mzuri sana, na hata kuhusudu hall ya baadaye ya Kasali katika biashara ya mvinyo. Hata hivyo, majaribio anayoifanyia fomyula ya mvinyo huo inabadilisha pakubwa historia ya Taasisi ya Mukibi.
Reviews
There are no reviews yet.