Musa na Bahati Nasibu

ISBN: 9780195739701Author: Barbara Kimenye

KES 460.00

Musa na King Kong wanakumbwa na uhitaji mkubwa wa pesa. Ili kukidhi haja hii, wanaibuka na wazo la kuandaa mchezo wa bahati nasibu.

Musa analazimika kutafuta zawadi ya kushindaniwa katika shule yao, Mukibi’s Educational Institute for the Sons of African Gentlemen.

Ingawa wanafanikiwa kupata zawadi – gari kutoka kwa Nick Molo – mchezo wao unakumbwa na mashaka.

Kwanza, mwalimu mkuu, Mzee Mukibi, anawapokonya tiketi za mchezo. Kisha, inabainika kuwa gari lenyewe ni la kuibwa.

Pesa wanazozipata nazo zinaishia mikononi mwa hasimu wao …

Buy from Nuria Kenya

Buy from Text Book Centre

Description

Musa na King Kong wanakumbwa na uhitaji mkubwa wa pesa. Ili kukidhi haja hii, wanaibuka na wazo la kuandaa mchezo wa bahati nasibu.

Musa analazimika kutafuta zawadi ya kushindaniwa katika shule yao, Mukibi’s Educational Institute for the Sons of African Gentlemen.

Ingawa wanafanikiwa kupata zawadi – gari kutoka kwa Nick Molo – mchezo wao unakumbwa na mashaka.

Kwanza, mwalimu mkuu, Mzee Mukibi, anawapokonya tiketi za mchezo. Kisha, inabainika kuwa gari lenyewe ni la kuibwa.

Pesa wanazozipata nazo zinaishia mikononi mwa hasimu wao …

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Musa na Bahati Nasibu”

Your email address will not be published. Required fields are marked *