Description
Beluwa: ! Hukubisha? Unaingiaje hapa hivi hivi tu? Hujui kuwa huku kuna wenyewe?
Miaka minne baada ya kukata rufaa, Beluwa bado yuko rumande. Anakutana ana kwa ana na ukweli baada ya kusombwa na wimbi kali la mkono wa sheria. Akiwa rumande anakutana na wafungwa wenzake; Tanda na Mtu. Ili kupitisha muda wakisubiri kusikilizwa kwa kesi zao, wanacheza michezo ya kitashtiti inayotalii kadhia zinazoumeza ulimwengu. ‘Beluwa’ ni mchezo wa kibwege unaoburudisha ajabu!
Reviews
There are no reviews yet.