Description
‘Maskini Milionea na Hadithi Nyingine’ ni mkusanyiko wa hadithi fupi zinazoakisi hali katika maisha ya wanadamu; hisia zao, changamoto na ufanisi wao. Ubora wa hadithi katika mkusanyiko huu haumo tu katika uanuwai wa fani na maudhui, bali pia kwenye mseto wa ufundi wa wachangiaji ambao wana asili na mitazamo tofautitofauti.
Hadithi hizi zilizoandikwa na waandishi kutoka maeneo mbalimbali ya Afrika Mashariki ni mchango mkubwa katika utanzu wa hadithi fupi za Kiswahili.
Reviews
There are no reviews yet.