Description
Kinyume na sifa na siha yake, kaunti aliyoitawala ilikuwa nyeusi; weusi uliowatia wakazi huzuni kutokana na ulafi na mapuuza ya viongozi. Baya zaidi, sauti za wapinzani dhidi ya umaskini, ukosefu wa ajira na magonjwa zilizimwa. ‘Tubadilishe Jina’ ni riwaya inayomulika maovu mbalimbali katika jamii yetu ya leo, na madhara yanayotokana na uongozi mbaya. Hadithi hii, vilevile, inaangazia nafasi ya uanaharakati katika kuupiga msasa uongozi ili kudumisha maadili katika jamii.
Reviews
There are no reviews yet.