Mlemavu Sio Mimi-Tawasifu Gredi ya 10

ISBN: 9789914447743Author: Ipalei Godfrey

KES 365.00

Godfrey Ipalei, kama mhusika mkuu, anajiandikia tawasifu yake kuwatangazia walimwengu kuwa mtu yeyote anaweza kuyafikia malengo yake na kutimiza ndoto zake maishani licha ya changamoto za kimaumbile. Anasisitiza kuwa ulemavu ni wa fikira na mielekeo hasi. Msomaji anatiwa moyo kutambua na kurutubisha kipawa alichonacho.

Buy from Nuria Kenya

Buy from Text Book Centre

Description

Tajriba yangu imenifundisha kuwa kila binadamu ni mlemavu, lakini ulemavu si kutojiweza. Kila binadamu ana uwezo fulani ambao unahitaji kutambuliwa na kurutubishwa. ‘Ulemavu pekee niujuao ni wa fikra na mielekeo hasi; si wa maumbile …’

Mwandishi, Godfrey Ipalei, alizaliwa mikono yote miwili ikiwa nusunusu. Licha ya hayo, amesoma katika shule za kawaida hadi chuo kikuu na kuajiriwa kazi, ambayo kwa kawaida angeonekana kutoiweza. Ipalei ameweza kufanya mengi ambayo hayangetarajiwa katika hali yake. Kwa sasa, yeye ni
mtaalamu wa tarakilishi katika Shirika la Huduma kwa Wanyamapori, Kenya (KWS).

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Mlemavu Sio Mimi-Tawasifu Gredi ya 10”

Your email address will not be published. Required fields are marked *