Musa Kwenye Harakati

ISBN: 9780195739671Author: Barbara Kimenye

THZ 7,500.00

Wanafunzi katika Mukibi’s Educational Institute for the Sons of African Gentlemen wanaenda nyumbani kwa likizo fupi. Hata hivyo. Musa na King Kong wana mpango tofauti. Wanaamua kuitumia fursa hiyo kujifurahisha mjini Tororo.

Wakiwa mjini Tororo. wanakutana na Finito anayewashawishi washiriki katika ‘hafla’ yake ya uponyaji (kwa malipo) na wanakubali. Musa anapanda jukwaani. Anapogeuka kuutazama umati uliojaa fujo. anakabiliana ana kwa ana na naibu wa mwalimu mkuu. Bw Karanja. Baada ya kufaulu kutoroka. na hata kuwakwepa polisi, wanaapa kufanya juu chini ili kuvuka mpaka. Je, hatima yao itakuwaje?

Enquire from Customer Service

Description

Wanafunzi katika Mukibi’s Educational Institute for the Sons of African Gentlemen wanaenda nyumbani kwa likizo fupi. Hata hivyo. Musa na King Kong wana mpango tofauti. Wanaamua kuitumia fursa hiyo kujifurahisha mjini Tororo.

Wakiwa mjini Tororo, wanakutana na Finito anayewashawishi washiriki katika ‘hafla’ yake ya uponyaji (kwa malipo) na wanakubali. Musa anapanda jukwaani. Anapogeuka kuutazama umati uliojaa fujo, anakabiliana ana kwa ana na naibu wa mwalimu mkuu, Bw Karanja. Baada ya kufaulu kutoroka, na hata kuwakwepa polisi, wanaapa kufanya juu chini ili kuvuka mpaka. Je, hatima yao itakuwaje?

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Musa Kwenye Harakati”

Your email address will not be published. Required fields are marked *