Description
“Nyongo Mkalia Ini” ni riwaya ya kusisimua inayosimulia ukweli wa mambo katika ulimwengu huu wetu. Mwandishi amegusia nyanja mbalimbali za maisha, hivyo basi mashabiki wa mambo kadha na kadha watavutiwa na riwaya hii. Mapenzi ya mumo, siasa zi mumo, huzuni na furaha za familia zi mumo hata ushirikina, usaidizi, mauaji ya kikatili, Historia, Elimu, n.k. yote hayo ya mumo katika “Nyongo Mkalia Ini”.
Vile vile mwandishi hakuacha kutuonyesha ukweli wa usemi huo wa nyongo kukalia ini.
Reviews
There are no reviews yet.