Othello

ISBN: 9780195738155Author: William Shakespeare

TZS 8,000.00

Lago anaapa kulipiza kisasi kwa kuivuruga ndoa ya Othello na Desdemona. Njia pekee ya kufanikisha lengo lake ni kumghilibu Othello kuwa mkewe ni mwasherati.

Je, Iago atafaulu katika azma yake? Je, Othello atazikubali hila za Iago? Endapo Othello atashawishika, atamchukulia hatua gani Desdemona?

Haya ni kati ya maswali anayoyajibu William Shakespeare katika tamthiliya hii ya tanzia inayoburudisha, kufunza na kukaidi mpito wa wakati. Tafsiri hii imeandikwa kwa ufundi mkubwa hivi kwamba ule mvuto na mnato wa kazi asilia umedumishwa.

Enquire from Customer Service

Description

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Othello”

Your email address will not be published. Required fields are marked *