Swahili Readers: 3f – Furaha ya Arope

ISBN: 9780195739831Author: Ken Walibora

KES 215.00

Arope amezoea kwenda malishoni kuwalisha wanyama wao. Baada ya muda kidogo, baba yake anamtaka aende shuleni ili apate elimu. Arope anafika shuleni. Siku moja, mgeni mmoja wa ajabu anakuja shuleni kwa kina Arope. Mgeni huyu anafanya mambo ambayo yanampatia Arope furaha kubwa. Mwishoni Arope anakuwa ‘Arope wa Kitabuni’.
Furaha ya Arope ni mojawapo ya hadithi katika mradi wa kusoma. Huu ni mradi wa vitabu vya ziada unaoambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.

Buy from Nuria Kenya

Buy from Text Book Centre

Description

Arope amezoea kwenda malishoni kuwalisha wanyama wao. Baada ya muda kidogo, baba yake anamtaka aende shuleni ili apate elimu. Arope anafika shuleni. Siku moja, mgeni mmoja wa ajabu anakuja shuleni kwa kina Arope. Mgeni huyu anafanya mambo ambayo yanampatia Arope furaha kubwa. Mwishoni Arope anakuwa ‘Arope wa Kitabuni’.
Furaha ya Arope ni mojawapo ya hadithi katika mradi wa kusoma. Huu ni mradi wa vitabu vya ziada unaoambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Swahili Readers: 3f – Furaha ya Arope”

Your email address will not be published. Required fields are marked *