Description
Kiswahili Dadisi Workbook ni msururu wa kipekee wa vitabu vya mazoezi katika Mtalaa wa Umilisi. Kila kitabu katika msururu huu kimefanyiwa utafiti wa kina na kuandikwa kwa ustadi ili kuwasaidia wanafunzi kupata umilisi wa kimsingi, ujuzi, maadili na kuwa na mitazamo bora maishani. Vitabu hivi vinatoa utaratibu mwafaka wa kufanya mazoezi ya lugha kwa njia nyepesi na ya kueleweka.
Reviews
There are no reviews yet.