Description
Wanasayansi, wanaramani mabingwa wameshindwa kutambua kilipokuwa kijiji cha Kubuni na kukiweka juu ya uso wa dunia. Kile wanachojua ni kuwa kijiji chenyewe kilikuwepo, ila sasa hakijulikani kitovu chake. Mzee Pepo tu ndiye aliyeshuhudia kijiji kikitokomea. Anaelezea masaibu yaliyokikumba kijiji hiki kwa namna itakayokuacha wewe msomaji ukistaajabu …
Mwandishi, Hamad Simai, ni mwandishi mtajika wa riwaya na kazi nyingine za kubuni. Aidha, ni mtaalamu wa teknolojia nchini Zanzibar.
Reviews
There are no reviews yet.